MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema Siku ya Wanamke Duniani, mkoani humo itafana mwaka huu, ikiwa yenye tija kwa wanawake wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla. Makonda amesema kabla ya kilele ...