News

Yanga inahitaji ushindi au sare dhidi ya Simba katika mechi yao leo, Jumatano, Juni 25 ili itwae ubingwa wa Ligi Kuu msimu ...
Aviel alitoa wito mahususi kwa wasanii wa Afrika Mashariki hususan Tanzania kujitokeza kwa wingi kuwania tuzo hizi ili pia ...
Hatua hiyo imetangazwa leo Jumatano Juni 25, 2025, kupitia taarifa kwa umma ya Tume ya Mawasiliano Kenya (CAK), ikiwa ni saa chache tangu waandamanaji hao maarufu kama ‘Gen Z’ waingie ...
Takriban watu 60 waliuawa mwaka jana na vikosi vya usalama katika wiki za maandamano ya kupinga ongezeko la ushuru na hali ...
Simba imethibitisha kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby’ leo d kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mechi hiyo imepangwa kuchezwa kuanzia saa 11:00 jioni ambapo Yanga itakuwa mwenyeji ...
Japo haijafahamika lengo la vijana nchini humo kuingia barabarani hata hivyo, taarifa zinadai azma ya vijana hao ni kupinga hali ya maisha inayoendelea pamoja na kutoridhishwa na utendaji ...
Akizungumza na Mwananchi, Lamata amesema taarifa za msiba huo alipokea jioni ya Juni 24, 2025, wakati akiwa safarini akitokea ...
Utekelezaji wa adhabu hiyo umefanyika leo Jumatano Juni 25, 2025 baada ya mahakama nchini Iran kuwakuta raia hao wa Israel na ...
Katika mchezo huo, Chelsea imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 ambao umeifanya imalize katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi D la mashindano hayo na kutinga hatua ya 16.
Baba huyo wa watoto sita alirejea nyumbani kwake mwishoni mwa wiki iliyoisha akiwa na mkongojo na sanduku dogo, mali ya ...
Hegemony ni nadharia ya dola moja kuongoza nyingine kisiasa, kiuchumi na kijeshi. Taifa moja linakuwa kiranja wa mataifa ...
Dar es Salaam. Mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis ‘Kitundu’ amefariki dunia leo Juni 24,2025. Taarifa za kifo chake ...